VItu 5 hatari kwa kuua Vijana Kati ya umri wa miaka 10-19

Takwimu za shirika la Afya duniani WHO zinaonyesha magonjwa ya Kuhara yameshika no.4 kwa kuua watoto walio chini ya umri wa miaka 10-19 na Huua vijana 3000 kwa Siku. Soma kurasa za chini mwa blog hii kujua namna ya kuepuka magonjwa hayo.
Embedded

Comments

Popular posts from this blog

Magonjwa yanayoongoza kusababisha vifo Tanzania

Wanaojisaidia kwenye chupa wabanwe