Nchi 10 zenye mazingira safi duniani.
Mazingira machafu ni miongoni mwa changamoto zinazokabili nchi nyingi duniani ambapo ongezeko la watu,sehemu za biashara na kukua kwa miji zimetajwa kama sababu kubwa inayochangia mazingira machafu hasa sehemu za mijini. April 24 2017 nimekutana na hii list ya nchi 10 zinazotajwa kuwa na mazingira masafi licha ya kuwa na idadi kubwa ya watu, list hii ni kwa mujibu wa Environmental Performance Index . Hii ni changamoto kwako ewe Mtanzania, yafanye maeneo unashoishi kuwa safi na epuka kutupa takataka hovyo: Switzerland Switzerland ni miongoni mwa nchi zenye mazingira masafi duniani ambapo wameweza kupambana na mazingira machafu kwa zaidi ya asilimia 87.67 ,kwa mujibu wa Environmental Performance Index Switzerland ni miongoni mwa nchi zenye hewa safi. 2. Luxembourg Environmental Performance imeipa Luxembourg asilimia 83.29 na kuifanya kuwa nchi ya pili kwa mwaka 2017 kuwa na mazingira masafi duniani. 3. Australia Australia imeshika namba tatu kwa nchi zenye mazing
Comments
Post a Comment